Mawasiliano
Tupigie, tuko Chanika
Simu ndiyo njia ya haraka zaidi. Tunaweza kukutumia picha, ramani na video ya kiwanja kwa WhatsApp kabla ya ziara.
Ofisi
Chanika mjini, Ilala, Dar es Salaam
Ziara za site hupangwa kwa simu. Unaweza kuja ofisini bila taarifa.
Tuko hapa
Chanika mjini, karibu na barabara kuu ya Chanika.
Jumatatu - Ijumaa8:00 asubuhi - 6:00 jioni
Jumamosi9:00 asubuhi - 4:00 jioni
JumapiliKwa miadi
Hakuna fomu hapa. Simu au WhatsApp ndiyo njia ya moja kwa moja.